Daudi Kabaka, Pole musa: We need your help!

  • I can comment on it

  • I know the meaning

  • I can review it

  • I can translate it

Skip to video ยป
Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found
Pole musa
by Daudi Kabaka

Musa nimefumilia sana
Musa nimefumilia sana
kupigwapigwa kama Mimi punda
na sura yangu imehalibikana
na Nguni sako sakila siku Musa taabuu taabuu

kweli MUSA ulipo nioa sura yangu hakuwa na alama hata moja

nilikuwa na afya suri
nilinona kama ngoima ya kihindi

kweli MUSA ulipo nioa sura yangu hakuwa na alama hata moja

nilikuwa na afya suri
nilinona kama ngoima ya kihindi
oye oye tafadhali MUSA
Tafuta bibi atakayewesa kudu mil is
hiso Tabia sako

Contributed by Aiden S. Suggest a correction in the comments below.
To comment on specific lyrics, highlight them

Ann Kushie

on African Twist

nice work