Pusha
ASlay Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

Pusha washa
Mi nina stress zimejaa
kwenye kichwa
Sogeza kitikaaaa
Nikueleze machache yaliyonikuta
Kuna kijanaa
Ana nisumbua sanaaaa
Mke wangu raha haaanaa
Nyumbani amani hakunaa
iiii iíiii
Asidhani mimi mjinga sanaaa
Mwenzie naumia roho yangu
Nisije baadae mi kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambieni ama zake ama zangu
Mi ntakufa na yeye
Nasema
Mwambie ama zake ama zangu
Mi nitakufa na yeye
Mkimuona mwambieeeeni
Ama zake ama zangu
nitakufa na yeye
eeeh Mwambieni
Ama zake ama zangu
nitakufa na yeye
Anapitaga kibarazanii
Nguo kashusha makalioooni
Anajiganya yeye muhuni
Wenzie tulianza tisinii
Tutabadilidhana majengo ya serikalii
aaahh ahhh
Mi niende jelaaa
Yeye aende mochwalii iiihh
ahhhh ahhah
iiihi iiihi
Asidhani mimi mkimya sana
Mwenzie naumia roho yangu
Nisije mimi baadae kupata lawama
Nikaharibu CV yangu
Mwambie ama zake
ama zangu
Mimi nitakufa na yeye
Mkimuonaaa mwambieeeni
Ama zakeee
Ama zanguuu
Mimi niyakufa na yeye
Mwambieeeni
ama zake
ama zangu
mimi nitakifa na yeye
aiiiyoooa iyooo aiiyóyo
huwaga sipendagi dharau
aiiiyooo aiyooo aiiyóyoo
Mwambie anajisahau
aiiiyooo aiyoo aiiyóyoo
tutachukiaaanaaa mamamamama
aiiiyooo aiyoo aiiyóyoo
tutapeana lawana sana oohoooo
aahaaaa





end

Overall Meaning

The opening line "Pusha washa, mi nina stress zimejaa kwenye kichwa" in ASlay's song Pusha is a Swahili phrase that translates to "Push the washing machine, my head is full of stress." The song speaks about a man who is struggling with his relationship as his wife is not providing him with happiness and peace in the home. He is troubled by a young man who is constantly causing issues with his marriage, and he fears that the situation will lead to him being blamed for any wrongdoing. The lyrics express his frustration and worry about the situation and how it is affecting his mental and emotional well-being.


The artist uses figurative language and imagery to convey his message in the song. The line "Anapitaga kibarazani, nguo kashusha makalioni" is a metaphor that means "he walks in the street with his pants sagging." The imagery used here is meant to show how the man is trying to act tough and portrays himself as a bad boy but is, in reality, causing problems for others. The song ends on a crescendo, with the artist expressing his anger and frustration towards the situation, with the lyrics "tutapeana lawana sana oohoooo," which translates to "we will exchange blows."


Line by Line Meaning

Pusha washa
Bringing vibes and energy


Mi nina stress zimejaa kwenye kichwa
I have a lot of stress in my head


Sogeza kitikaaaa
Move closer and listen


Nikueleze machache yaliyonikuta
Let me tell you about what I'm going through


Kuna kijanaa/ Ana nisumbua sanaaaa
There is a guy who is really bothering me


Mke wangu raha haaanaa/ Nyumbani amani hakunaa/ iiii iíiii
My wife is not at peace at home, there is no peace


Asidhani mimi mjinga sanaaa/ Mwenzie naumia roho yangu/ Nisije baadae mi kupata lawama/ Nikaharibu CV yangu
He shouldn't think I'm foolish, he's hurting me emotionally; I don't want to be blamed later for ruining my reputation


Mwambieni ama zake ama zangu/ Mi ntakufa na yeye/ Nasema
Tell his people and mine that I will die for him, I'm serious


Mwambie ama zake ama zangu/ Mi nitakufa na yeye/ Mkimuona mwambieeeeni/ Ama zake ama zangu/ nitakufa na yeye/ eeeh Mwambieni/ Ama zake ama zangu/ nitakufa na yeye
Tell his people and mine that I will die for him, if you see him, tell him, I will die for him


Anapitaga kibarazanii/ Nguo kashusha makalioooni/ Anajiganya yeye muhuni/ Wenzie tulianza tisinii
He walks in the streets showing off, and is pretending to be a tough guy, we started from the bottom


Tutabadilidhana majengo ya serikalii/ aaahh ahhh/ Mi niende jelaaa/ Yeye aende mochwalii iiihh/ ahhhh ahhah/ iiihi iiihi
We'll exchange government buildings, I'll go to jail and he can go to hell


Asidhani mimi mkimya sana/ Mwenzie naumia roho yangu/ Nisije mimi baadae kupata lawama/ Nikaharibu CV yangu
He shouldn't think I'm not saying anything because it's hurting me emotionally, I don't want to be blamed later for ruining my reputation


Mwambie ama zake/ ama zangu/ Mimi nitakufa na yeye/ Mkimuonaaa mwambieeeni/ Ama zakeee/ Ama zanguuu/ Mimi niyakufa na yeye/ Mwambieeeni/ ama zake/ ama zangu/ mimi nitakifa na yeye
Tell his people and mine that I will die for him, if you see him, tell him, I will die for him


aiiiyoooa iyooo aiiyóyo/ huwaga sipendagi dharau/ aiiiyo oo aiyooo aiiyóyoo/ Mwambie anajisahau/ aiiiyo oo aiyoo aiiyóyoo/ tutachukiaaanaaa mamamamama/ aiiiyo oo aiyoo aiiyóyoo/ tutapeana lawana sana oohoooo/ aahaaaa
Expressing frustration, I don't like disrespect. Tell him he's forgetting himself. We'll hate each other and fight badly.




Contributed by Evelyn A. Suggest a correction in the comments below.
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found
Comments from YouTube:

@zambianfoodconnections7253

Still here in 2024🔥

@kmuturi238

I was here 4 years ago... I'm back here in 23rd March, 2022! This song still hits the spot, the beats, lyrics, everything 💙🇰🇪.

@tracybosby4330

Am here 24th may 2022 the song hits different till now

@sylviamwitsa3188

AM here in july 2022,still a masterpiece.

@SteveUmeme

It hits different every time!! I looove it... on repeatmode

@gladyschombo5458

You can shout this!!!

@joyceishaguah1718

Am here 7th August 2022

5 More Replies...

@Deno_sergio

It never gets old 🔥2023 still jaming to it

@vikahmotors

Mimi huyu hapa 2024, hili dude kali sana

@calstee

Even if this song haina views kadhaa kama ngoma ya King Kiba na diamond , Aslay is the next big thing in Tanzania.
Yaani this guy is so genius ,classic reggae beat and bongo beat .....go ASLAY RESPECT FROM KENYA.

More Comments

More Versions