Nairobi
BURUKLYN BOYZ Lyrics

Yo, tano nane
Kwani ni kesho?
Si kesho
Tuna-take over Nairobi mzima
East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh)
Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP
Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a-try ku-resist

Kwa wale hawani-recognise, uh, mi ni big boy uno
Kwa hizi sides bado unakangwa hata ka umeivisha judo
Manambling tunawa-round, ni ka tunacheza Ludo
Mresh wako ana-slide DM, ah, sina time ya makuro
Bro wangu alipurura stock, pia mi nikabaki nime-finesse plug
Hawa mariza wanaona wanaeza do juu wamepiga ma-rags
Itabaki tutoke kwa ground, tuache kuitwa ma-local thugs
Ma-hater kwendeni huko, si hufanya kitu juu ya ma-fans (Kwenda!)
Tuko on top juu ya KICC, ma-ops sere mzima tunawa-ping
Ki-PUBG au COD, battle royale kwa hizi streets
We ready to risk, hatutajibali, hatuna pupa, hatu-hang na Fally
We jua hii gang ni kali, inapendwa na madem wa geti kali
Tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
Tuko strap na makoro in case hawa manambling wajigas wanadai smoke
Maziwa zetu ziko freshi ndenu, we uko na ndegi zenu imbo (Kwendeni)
Uta-survive aje kwa jungle, man, na hautafuti doh (Yo, yo)
Tuna-take over Nairobi mzima
East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh)
Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP
Na ka kuna msee anabishana,
Akam hizi sides a-try ku-resist (Akam, akam)
Tuna-take over Nairobi mzima
East, West, mpaka CBD (Uh-huh, uh-huh)
Hii ndio mbogi imeivisha drill, 254 tunachafua scene
Si ndio the trend, NTV, kwa hii game si ndio ma MVP
Na ka kuna msee anabishana, akam hizi sides a-try ku-resist
Ma-goon wameivisha drill, 254 si manamba uno
Unaeza uliza namba uno
Mi nadai cash, doh, gwap, hadi ma-euros
T Bop ki-Unknown T, man, I got gyally on me
Kwa kichwa nina ma-alphabet, ABCD
Stay tuned kwa hii TV, na team ina-shut down CBD
Na ma-rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa BCG
Stay tuned kwa hii TV, na team ina-shut down CBD
Na ma-rapper wako weak kwa streets, hamkudungwa BCG
Uh, niko jo kwa scene, mikono zinarushwa right and left
Kwa street usibebwe ufala, go hard ka chain ya BMX
Big boys tunaenda viral, breaking news kwa CNN
Na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa X
Ma-bro this life is crazy, and welcome to the city of sex
Hawa wasee wame-carry ma-knives, skengs, hmm, for defense (Bow)
Juu gang yu hukuwanga safi usitu-tempt, no offence
Na ukileta ujinga kwa mbogi, unapigwa X

Contributed by Kennedy B. Suggest a correction in the comments below.
To comment on specific lyrics, highlight them
Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found
Comments from YouTube:

Ian Luyuku

Buruklyn boyz ft wakadinali will save the world!!

Davies Barasa

Una over do though 😹😹..juu they dont there barz in English

Mr Della

πŸ”₯πŸ”₯

Arunda A

Amen I agree

Apesi

yeah

Eunice Makau

πŸ”₯

105 More Replies...

RICHY HANIEL

BURUKLYN BOYZ πŸ—£ πŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’ŽπŸ’Ž

Clan17X

From Makueni County

Kevin Cube

Richy πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

6 More Replies...

Lil.t savage

I'm Kenyan living in England and this is the best thing I have seen βœŠπŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‡¬πŸ‡§

More Comments

More Videos