Ready
H_art The Band Lyrics

Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

...Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
.Afraid holding her breath...
maybe he might hear her.see he doesen't feel the same way maybe ...H_ART THE BAND ...LADY JAYDEE.
Nikaja kupenda na moyo wangu wote binti huyu aliyefanya nimuote usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa sionekani popote
Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke ...
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nikakaza
Lakini huonekani mpaka sasa(×2)

Rosella(ninajiuliza)
Rosella(je umebadilika)

Rosella(nashindwa kuamua... aaaa)

Ni kweli niliamua kuondoka nikidhani nitapendwa niendapo hakunaaa
Oooh nilidhani nitakuta tofauti hiyo yote mpaka sasa sijaaaonaa...
Moyo waniuma... nikikumbukaaa...
mambo mengi wewe ulikosea.

Najiuliza je ni kweli umebadilika
ama maumivu ninayarudia masikini nashindwa amua... oooh nashindwaaaaa...

Rosella(ninajiuliza)
Rosella(je umebadilika)
Rosella(nashindwa kuamua... aaaa)

Yaaniii... imekua siku nyingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi Please call me zangu hunijibu simu zangu hushiki
Na najua haiwezi kua ni simu ulipoteza
Juu social media nmeona selfie zako na ile top flani kali nlikubuyia ya dashiki
Ukweli nikukumiss nmekumiss tena sana
na najua umenimiss unanilenga tu juu tulikosana
Ego yako ilkua juu ulikua dem wa maringo lakini siteti nlikupenda tu hivo hivo
Yaani tangu utoke stress iko juu tu sana
sura imejaza tu ma-wrinkles.
kila time najipata nimekasirikia tu vitu simple simple
Ata jokes na ma people nacatch
wao wakishow tu ma dimples
Walisema kosa si kosa.kosa ni kurudia kosa na unajua ulikosa lakini huwezi kubali ulikosea nshakuzoea ni sawa tuu nishakusamehea una act selfish but kuishi bila wewe machozi.
mi siwezi yaani kukula kwa hoteli si wajua mi ni mlazy
Malkia smile tamu cresent shape ya mwezi

sipendi tukikosana napenda tukichora saba kwa saba love heart wajua nakupenda tu sana
pamoja tembea...
Dar .Arusha.tunajirusharusha. spending karibu Dolce .Gabbana mwanaume si unajua ni kujikaza spaghetti.crop... 9 months later baby shower na pamper love imeshika rada first born anakaribisha brother
Twende nyumbani nikuintroduce kwa matha... Ras ashapata patner...(ruudi nyumbanii)
Rosella(ninajiuliza)

Rosella(je umebadilika)
Rosella(nashindwa kuamua... aaaa)

Overall Meaning

The song "Ready" by H_art The Band featuring Lady Jaydee tells the story of two individuals who were once in love and now find themselves in a state of confusion, pain, and regret. The lyrics paint a picture of a woman, Rosella, who is afraid to express her feelings to the man she loves in fear of rejection. She agonizes over his lack of attention and wonders if he feels the same way. Meanwhile, the man, who had initially been in love with Rosella, left her, thinking he would find someone better, only to realize that he had made a mistake.

The song explores the themes of love, heartbreak, pain, and regret. It highlights the consequences of failing to communicate honestly and directly with our loved ones. The lyrics also show how we can sometimes focus too much on ourselves, failing to notice the needs and feelings of those closest to us. Ultimately, the song expresses the desire for reconciliation and the hope of rekindling love and happiness.

Line by Line Meaning

Afraid to tell him how she feels
She is scared of expressing her emotions to him

She silently whispers to herself
She talks quietly to herself, not wanting anyone else to hear

Afraid holding her breath...
She's scared, waiting with bated breath for his response

maybe he might hear her.see he doesen't feel the same way maybe ...H_ART THE BAND ...LADY JAYDEE.
She wonders if he'll hear her, but he may not reciprocate her feelings, like in the story portrayed in H_art The Band's song by LADY JAYDEE.

Nikaja kupenda na moyo wangu wote binti huyu aliyefanya nimuote usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa sionekani popote
I fell in love with this girl, she kept me up all night and all day, I was like I was possessed, and now I can't be found

Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke ...
I did many difficult and heavy things just to be with her, but now when I look around, I see that she left me alone

Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nikakaza
I had a lot of love, I loved you like an animal, I didn't think about the consequences and I held on tight.

Lakini huonekani mpaka sasa(×2)
But I'm still not seen until now

Rosella(ninajiuliza)
Rosella (I'm asking myself)

Rosella(je umebadilika)
Rosella (Have you changed?)

Rosella(nashindwa kuamua... aaaa)
Rosella (I can't decide... aaaa)

Ni kweli niliamua kuondoka nikidhani nitapendwa niendapo hakunaaa
It's true I decided to leave, thinking I'd be loved wherever I go, but I wasn't.

Oooh nilidhani nitakuta tofauti hiyo yote mpaka sasa sijaaaonaa...
Oh, I thought I'd find a difference but so far I haven't seen any

Moyo waniuma... nikikumbukaaa...
My heart hurts...when I remember...

mambo mengi wewe ulikosea.
Many things you did were wrong.

Najiuliza je ni kweli umebadilika
I ask myself if you've really changed

ama maumivu ninayarudia masikini nashindwa amua... oooh nashindwaaaaa...
Or are the pains repeating and I'm unable to decide...oh, I'm so confused...

Yaaniii... imekua siku nyingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi Please call me zangu hunijibu simu zangu hushiki
It's been a very long time since we talked, my texts go unanswered, you don't call back or pick up

Na najua haiwezi kua ni simu ulipoteza
And I know it can't be that you lost your phone

Juu social media nmeona selfie zako na ile top flani kali nlikubuyia ya dashiki
Because on social media, I've seen your selfies, and that trendy top that I bought you as a Dashiki

Ukweli nikukumiss nmekumiss tena sana
The truth is, I really miss you a lot

na najua umenimiss unanilenga tu juu tulikosana
And I know you miss me too, you're just focusing on the fact that we fought

Ego yako ilkua juu ulikua dem wa maringo lakini siteti nlikupenda tu hivo hivo
Your ego was high, you were a pompous lady, but I loved you just the same

Yaani tangu utoke stress iko juu tu sana
I mean, ever since you left, the stress level has been really high

sura imejaza tu ma-wrinkles.
My face is just full of wrinkles.

kila time najipata nimekasirikia tu vitu simple simple
Every time, I find myself getting angry at simple things

Ata jokes na ma people nacatch
Even jokes and people I used to enjoy being around

wao wakishow tu ma dimples
They just show off their dimples

Walisema kosa si kosa.kosa ni kurudia kosa na unajua ulikosa lakini huwezi kubali ulikosea nshakuzoea ni sawa tuu nishakusamehea una act selfish but kuishi bila wewe machozi.
They say that doing wrong isn't a mistake, but repeating the mistake is, and you know you did wrong but you can't admit it. I've gotten used to it and forgiven you, but you act selfishly, and living without you brings tears.

mi siwezi yaani kukula kwa hoteli si wajua mi ni mlazy
I can't eat at the hotel, you know I'm lazy

Malkia smile tamu cresent shape ya mwezi
Queen, your sweet smile is crescent-shaped like the moon

sipendi tukikosana napenda tukichora saba kwa saba love heart wajua nakupenda tu sana
I don't like when we fight, I like when we draw heart after heart, you know I love you so much.

pamoja tembea...
Let's walk together...

Dar .Arusha.tunajirusharusha. spending karibu Dolce .Gabbana mwanaume si unajua ni kujikaza spaghetti.crop... 9 months later baby shower na pamper love imeshika rada first born anakaribisha brother
We'll bounce around in Dar-es-Salaam and Arusha. Spend nearly Dolce & Gabbana money. You know it's hard out here for a guy. We'll tighten our belts. Nine months later, we'll have a baby shower and our love will be booming. Our firstborn will welcome his brother

Twende nyumbani nikuintroduce kwa matha... Ras ashapata patner...(ruudi nyumbanii)
Let's go home, I'll introduce you to my mother...Ras has also found a partner...(come back home)

Rosella(ninajiuliza)
Rosella (I'm asking myself)

Rosella(je umebadilika)
Rosella (Have you changed?)

Rosella(nashindwa kuamua... aaaa)
Rosella (I can't decide... aaaa)

Contributed by Luke R. Suggest a correction in the comments below.
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found

More Versions