Harmonize'm
Harmonik Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya cm sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu alicheza vanga
Konde boy 4 every boddy
Ma music the shek your body
Cause Im doing this for my people
I wanna hear u sing talalala
Kipando kinanigadi
Mafans naongeza idadi
Salut kwa wangu wa geto
Segerea ukonga gwaragwara
Wasonipenda kazi wanayo
(Ooo kazi wanayo)
Mie sipegi ngenga pesa ninayo
(Ooo pesa ninayo)
Tunatia chenga wanafwata nyayo
(Eee wanafwata nyayo)
Tunapiga denda wanapiga miayo
(Eee wanapiga miayo)
We kesha kwa waganga nganga
Mwenzako najichanga nganga
Nazisanya faranga nganga nikipata natumia do wote
Ruksa ni kanga nganga
Napendaga vicheni vishanga nganga
Na uturi wa kanga nganga
Hakikisha unanukia
Oyaaa
Kushoto kulia kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya sim sa tuone mwang
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Napandisha wazimu wanalicheza vanga
Saminamina eee eee
Wakawaka eee eee
Saminamina eee eee
Waka waka eee eee
Ase saminamina eee eee
Wakawaka eee eee
Saminamina eee eee
Waka waka eee eee
Wanaotaka shindana na Mimi
Hawapati hata saare
Usishangae tatoo na vipini
Me mmakonde chaalee
Peace kwa walonileta mujini
Mondi wa tandale
Maneno majungu tupa chini muziki utawaleee
Kama nyapara kafunguliwa pingu eee
Kutwa tunachana mawingu eee
Ameshapanga we nani upangue
Unajitesa bure
Aga
We kesha kwawaganga nganga
Mwenzako najichanga nganga
Nazichanya faranga nganga
Nikipata natumia
Oyaaa
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya sim sa tuone mwanga
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Napandiaha wazimu wanalicheza vanga




Bongaaaa l
Instargram benshiri_tz

Overall Meaning

The lyrics of Harmonik's song "Harmonize'm" are primarily in Swahili, with some phrases in English mixed in. The song starts off with the repeated phrase "Kushoto kulia," which translates to "Left right." The next line, "Washa tochi ya cm sa tuone mwanga," means "Turn on the flashlight so we can see the light." It seems that the song is urging people to follow the beat, moving left and right and unleashing their wild side. The use of "Konde boy" is the artist's nickname and is a glimmer of Kenyan slang, "konde" meaning "groupie" or "fans."


The verse talks about the singer's passion for music and how he wants people to enjoy it and dance to it. The next verse talks about the struggles of living in a poor neighborhood, and how the singer is working hard to make money and survive. The use of the phrase "nganga," which refers to a traditional healer, adds to the street authenticity of the song. The chorus repeats the phrase "Kushoto kulia" over and over again, with the singer stating that he wants people to go wild and lose their minds while dancing.


Overall, "Harmonize'm" is a catchy song that encourages people to let loose and have fun while dancing. The use of Swahili and street slang adds to the authenticity of the song and further amplifies its message.


Line by Line Meaning

Kushoto kulia
This phrase is repeated multiple times and seems to refer to moving left and right, possibly in a dance or party setting


Washa tochi ya cm sa tuone mwanga
Turn on the flashlight of your phone so we can see the light


Kapandisha wazimu alicheza vanga
He raised the madness and danced wildly


Konde boy 4 every boddy
This line introduces the artist's name or nickname, Konde Boy, and suggests that he makes music for everyone, regardless of background or status


Ma music the shek your body
The music is meant to make you move and dance


Cause Im doing this for my people
The artist is making music for his fans or audience


I wanna hear u sing talalala
The artist wants the listeners to participate by singing along


Kipando kinanigadi
This phrase is unclear, but may refer to a dance move or musical beat


Mafans naongeza idadi
The artist is accumulating more fans and supporters


Salut kwa wangu wa geto
Greetings to my people from the ghetto


Segerea ukonga gwaragwara
These are areas or neighborhoods in Tanzania, possibly indicating the artist's origins or community


Wasonipenda kazi wanayo (Ooo kazi wanayo)
They like the work I do (Ooo, the work I do)


Mie sipegi ngenga pesa ninayo (Ooo pesa ninayo)
I don't care about the money I have (Ooo, the money I have)


Tunatia chenga wanafwata nyayo (Eee wanafwata nyayo)
We're fooling them, but they're still following our lead (Eee, following our lead)


Tunapiga denda wanapiga miayo (Eee wanapiga miayo)
We're hitting the dance floor, and they're following our moves (Eee, following our moves)


We kesha kwa waganga nganga Mwenzako najichanga nganga Nazisanya faranga nganga nikipata natumia do wote Ruksa ni kanga nganga Napendaga vicheni vishanga nganga Na uturi wa kanga nganga Hakikisha unanukia Oyaaa
These lines are a mix of Swahili and made-up words or phrases. They seem to suggest that the artist is involved in some sort of spiritual or mystical practices that involve money or power. The last line may mean 'make sure you succeed'


Saminamina eee eee Wakawaka eee eee
These are sounds or chant-like phrases often used in African music or dance


Wanaotaka shindana na Mimi Hawapati hata saare
Those who want to compete with me can't even get close


Usishangae tatoo na vipini Me mmakonde chaalee
Don't be surprised by my tattoos and chains, I am Makonde


Peace kwa walonileta mujini Mondi wa tandale
Peace to those who brought me to the city, I am Mondi from Tandale


Maneno majungu tupa chini muziki utawaleee
Throw negative words and gossip down, let the music take over


Kama nyapara kafunguliwa pingu eee Kutwa tunachana mawingu eee Ameshapanga we nani upangue Unajitesa bure
These lines are unclear, but may suggest that the artist is breaking free from something or someone and doesn't care about the opinions of others


Bongaaaa l Instargram benshiri_tz
These are likely a shout-out to the artist's fans or social media followers




Writer(s): Nickenson Prudhomme

Contributed by Benjamin W. Suggest a correction in the comments below.
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found

Dave François


on Apaw fache

that my music

More Versions