Incredible
D.N.2.P.S. Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

Yeah a.k midundo
Huu ndo ukite saba
Yeah aah

Mchizi najuana naye
bombom kiwalani huko ndiko nilipatana naye
Ye ni mhela tena sergent wa vita tu
lakini polisi wanavyodai haizimii katu
Alisema hakupenda kuwa afande
ila kwa kuwa alifeli shule kukimbia umande
Homu akalazimishwa baba yake afisa
akasema hutaki jeshi nyumbani hama kabisa
Na hapo ndipo alianza uaskari ,
cha ajabu anatimba mpaka anagwanda kwenye kamali
Tunapiga deali kali mbali mbali
tunajenga pesa hata kwa njia zisizo halali
Ganja anavuta ,
tana kabla hajaenda job asubuhi anapita kwa pushta
Kwa fujo anakicharanga cha arusha
vimoshi kibao yani hadi gwanda zinanuka
Skani wasela tunafurai
tunafanya sana soo na jela wala hatukai
Tukiwa nae tunatisha kama wafu
na hasa usiku tunapotisha sana watu

Uko macho kwenda lesi na maisha
mchakato ikienda freshi uko freshi Ka ikifeli umekwisha
heri imepita kiukweli wengi wamekwisha
ndo ukifanya kweli fanya kweli ikiwa kihakika
macho kwenda lesi na maisha
mchakato ikienda freshi uko freshi Ka ikifeli umekwisha
heri imepita kiukweli wengi wamekwisha
ndo ukifanya kweli fanya kweli ikiwa kihakika

Yeah
Tukawa na sifa mbovu ,kila mtaa ,
polisi tunae so tunabeba kila silaha
Okoa sana mazaga mpaka mijibaba
hata uwe kipande chunga usije ukatukanyaga bro
Geshi la machizi na masoja
ukishaliona toka spidi mara moja
Huwa hatusikilizi hatufanyi agiri ukituona
jua ni maangamizi kila kona
Ukizingua ni dakika tu
hujaskia la wakuu utastukia ushavunjika guu
Hatutaki stress na jamii
si tuko na yetu tunakwenda race na madeal
Data zikamfikia mkuu wa mapolisi mwana kupigiwa simu si akajua ya kiofisi
So akatinga sare mtima hadi ofisi na vile anafika tu wajomba wakamzinga ka ishirini
Makamanda hata hawkumpigia hata
saluti wakasema vua mkanda vua kofia vua na koti
Wakamtupa ndani keshokutwa kizimbani
kama utani akashtuka akjikuta jerezani

Uko macho kwenda lesi na maisha
mchakato ikienda freshi uko freshi Ka ikifeli umekwisha
heri imepita kiukweli wengi wamekwisha
ndo ukifanya kweli fanya kweli ikiwa kihakika
macho kwenda lesi na maisha
mchakato ikienda freshi uko freshi Ka ikifeli umekwisha
heri imepita kiukweli wengi wamekwisha
ndo ukifanya kweli fanya kweli ikiwa kihakika

Yeaah
Ni kwa masoja wote wanaotumia kazi vibaya
Wanaotumia gwanda za kipolisi kufanyia matukio ya kiharamu mtaani




Yeah
Hii ni message kwenu

Overall Meaning

The lyrics of D.N.2.P.S.'s song "Incredible" paint a vivid picture of a character's journey into a life of crime and its consequences. The opening lines set the tone with references to a mysterious figure known as "a.k midundo" and a sense of anticipation and intrigue. The lyrics then delve into the singer's background, narrating how they met an individual named bombom in a rough neighborhood, where they started their criminal activities. The singer's upbringing is highlighted, with mention of their father being a military officer and their initial reluctance to follow in his footsteps due to educational failures.


As the narrative unfolds, we see the singer gradually becoming entrenched in a life of crime, engaging in illegal activities such as drug dealing, smoking marijuana, and participating in violent confrontations. The portrayal of recklessness and lawlessness is palpable in the imagery of chaotic scenes and risky behaviors described in the lyrics. The character's transformation from a reluctant recruit into a hardened criminal is illustrated through their involvement in shady dealings and their fearless attitude towards intimidating others, especially at night.


The chorus reflects a sense of fatalism and resignation, emphasizing the fleeting nature of success in criminal endeavors and the ultimate downfall that many face. The repeated exhortation to stay vigilant and focused on navigating the dangers of life and criminality underscores the theme of consequences and the need for caution. Through the lyrics, the artist conveys a message about the repercussions of choosing a life of crime, portraying it as a path with a high price to pay and a warning to those who misuse their power or engage in illegal activities.


In the final verses, the lyrics shift focus to a message directed at those abusing their positions of authority, specifically addressing corrupt soldiers and police officers misusing their uniforms for criminal activities. The tone of admonition and condemnation is evident as the song condemns those who betray public trust and engage in illegal acts under the guise of official duties. The song closes with a powerful statement calling out those who tarnish the image of law enforcement and deliver a cautionary message to those on the wrong path. The overall narrative weaves together themes of choice, consequence, and moral accountability, offering a poignant reflection on the perils of crime and corruption in society.


Line by Line Meaning

Yeah a.k midundo
This is the rhythm of the streets


Huu ndo ukite saba
This is where you have to be cautious


Yeah aah
Yeah, indeed


Mchizi najuana naye
I know him, the hustler


bombom kiwalani huko ndiko nilipatana naye
In the midst of struggle is where I met him


Ye ni mhela tena sergent wa vita tu
He's a money-maker, just a sergeant of war


lakini polisi wanavyodai haizimii katu
But the police claims never die out


Alisema hakupenda kuwa afande
He said he didn't want to be a boss


ila kwa kuwa alifeli shule kukimbia umande
But due to failing school, he ran into the morning dew


Homu akalazimishwa baba yake afisa
He was forced by his officer father


akasema hutaki jeshi nyumbani hama kabisa
He said he didn't want the army at home, move out completely


Na hapo ndipo alianza uaskari
And there he started the military life


cha ajabu anatimba mpaka anagwanda kwenye kamali
Strangely, he strides on until he's dressed in military attire


Tunapiga deali kali mbali mbali
We make hard deals in different places


tunajenga pesa hata kwa njia zisizo halali
We make money even through illegal ways


Ganja anavuta
He smokes marijuana


tana kabla hajaenda job asubuhi anapita kwa pushta
He smokes before going to work, passing by the dealer in the morning


Kwa fujo anakicharanga cha arusha
He smokes heavily and wildly


vimoshi kibao yani hadi gwanda zinanuka
He smokes a lot, the smell lingers


Skani wasela tunafurai
We're listening to music and having fun


tunafanya sana soo na jela wala hatukai
We go to clubs and spend time with no worries


Tukiwa nae tunatisha kama wafu
When he's with us, we scare like we're dead


na hasa usiku tunapotisha sana watu
Especially at night, scaring people a lot


Uko macho kwenda lesi na maisha
Be alert in life's journey


mchakato ikienda freshi uko freshi Ka ikifeli umekwisha
If the process goes smoothly, you're good; if it fails, it's over


heri imepita kiukweli wengi wamekwisha
Better opportunities have passed truthfully, many have missed out


ndo ukifanya kweli fanya kweli ikiwa kihakika
So if you're going to do it, do it right and be sure


Yeaah
Yeah


Tukawa na sifa mbovu ,kila mtaa
We had a bad reputation in every street


polisi tunae so tunabeba kila silaha
We have contacts in the police, so we carry every weapon


Okoa sana mazaga mpaka mijibaba
Save your resources, even your friends


hata uwe kipande chunga usije ukatukanyaga bro
Even if you're a piece, be careful not to trample us bro


Geshi la machizi na masoja
The gang of hustlers and soldiers


ukishaliona toka spidi mara moja
Once you see us, speed away immediately


Huwa hatusikilizi hatufanyi agiri ukituona
We don't listen, we don't negotiate when you see us


jua ni maangamizi kila kona
Know it's destruction at every corner


Ukizingua ni dakika tu
If you hesitate, it's only a matter of minutes


hujaskia la wakuu utastukia ushavunjika guu
You won't hear from the bosses, you'll feel your leg breaking


Hatutaki stress na jamii
We don't want stress with society


si tuko na yetu tunakwenda race na madeal
We have our own, we're on a race with deals


Data zikamfikia mkuu wa mapolisi mwana kupigiwa simu si akajua ya kiofisi
Information reached the police chief, but when he got a call, he understood it was official


So akatinga sare mtima hadi ofisi na vile anafika tu wajomba wakamzinga ka ishirini
So he suited up and went straight to the office, but as soon as he arrived, uncles surrounded him like twenty of them


Makamanda hata hawkumpigia hata saluti wakasema vua mkanda vua kofia vua na koti
Even the commanders didn't salute him, they just said remove the belt, remove the hat, remove the coat


Wakamtupa ndani keshokutwa kizimbani
They threw him inside, the next day in detention


kama utani akashtuka akjikuta jerezani
As if it was a joke, he was shocked to find himself in jail


Yeaah
Yeah


Ni kwa masoja wote wanaotumia kazi vibaya
This is a message to all soldiers who misuse their work


Wanaotumia gwanda za kipolisi kufanyia matukio ya kiharamu mtaani
Who use police uniforms to commit unlawful acts in the neighborhoods


Yeah
Yeah


Hii ni message kwenu
This is a message for you




Lyrics © O/B/O APRA AMCOS

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found

More Versions