DREAM YA KUTOKA KWA BLOCK
BURUKLYN BOYZ Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

Tano Nane,
Uh joh

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich, tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone,
Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich,
Tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone
Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na kirifle
Society inadhani tunafumble
Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
Wanatupenda ju tunaenda viral
Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital

Kwa ground mambo ni nare
Maboy wanafaa wareform
Lakini watareform aje
Na washajua ganji ilitoka na ndom

Niko safe niko seti hizi zone
Huwezi nishow venye we ni mrong
Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
Hizi streets inataka kuwa mpole man yoh ama utapangwa
Mresh wako asichekะต na mgoon
Huku East ama atamangwa
Pereka huko ukidhani atajali hautalambwa
Mkono zinateta bะตfore atolewe chai
Ataganda

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich,
Tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone,
Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich
Tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone
Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Uh nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy
Na ka unani-owe ma ganji man
Mi nadai kuwa na profit
Thatโ€ฒs why mi hukuwa kwa office
Men in black tu na rock ma koti
Let see mi hutrust manoti
Maisha yangu naachia Sir God

Flow ni ya kimaajabu na
Hii beat ni chopi
B Boys si huset matrends
Na si huset ma subject
Na nimekam nimerock my blue fam,
Chini ni red carpet

Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
Shash iko joh kwa chalice
Mi najikill close hio curtain
Na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern
Huku daily si hurun ma opps
Na unaeza dhani ni circus
Buruklyn Boyz tulileta frakass
Kama ni drill close hio chapter

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich,
Tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone,
Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
Yaani to get rich,
Tuomoke in-short
Nikilala mi huacha maisha yangu,
Kwa mikono ya God
Nadai mkumbuke when am gone,




Mwendelee kuplay our songs
Ajay na M.Right duo strong

Overall Meaning

The lyrics to BURUKLYN BOYZ's song "Dream Ya Kutoka Kwa Block" expresses the group's ambitions and aspirations to move beyond their humble beginnings in the "block" or the rough neighborhood they grew up in. The song tells of their dreams of wealth and success and how they believe in leaving their lives in the hands of God. The lyrics also contain a message to their fans to continue playing their music even after they are gone. The rappers also discuss their rise to fame and how society misunderstands their struggles and achievements. They also assert that they are not influenced by trends and that their subject matter is not limited to popular topics.


The overall message of the song is one of perseverance, ambition, and faith in God. The rappers encourage listeners to follow their dreams despite their circumstances and to trust in divine intervention to help them achieve their goals.


Line by Line Meaning

Tulikam na dream ya kutoka kwa block
We came with a dream to leave our neighborhood and get rich.


Yaani to get rich, tuomoke in-short
In other words, we wanted to get rich and get out of the situation quickly.


Nikilala mi huacha maisha yangu, kwa mikono ya God
When I sleep, I leave my life in God's hands.


Nadai mkumbuke when am gone, mwendelee kuplay our songs
I hope you remember me when I'm gone and continue to play our music.


Ajay na M.Right duo strong
Ajay and M.Right are a strong duo.


Sasa wanalipa kuwatch nikipull-up na kirifle
Now they pay to watch me pull up with a rifle.


Society inadhani tunafumble
Society thinks we are failing.


Ati wao wanacheki kwa mneti kama ma idol
They're checking on us like we're idols on a show.


Wanatupenda ju tunaenda viral
They love us because we're going viral.


Nilikuwa kwa mood mbaya nikaseti kishash nikakuwa ital
I was in a bad mood, so I set up the sound system and made it better.


Kwa ground mambo ni nare
On the ground, things are chaotic.


Maboy wanafaa wareform, lakini watareform aje
The boys need to reform, but how can they reform?


Na washajua ganji ilitoka na ndom
And they already know the money comes from selling drugs.


Niko safe niko seti hizi zone
I'm safe and ready in these zones.


Huwezi nishow venye we ni mrong
You can't tell me how wrong I am.


Kama anaita mbogi am sure niko na watu strong
If you call for backup, I'm sure I have strong people with me.


Huku East ama atamangwa, pereka huko ukidhani atajali hautalambwa
Here in the East, you'll be robbed, and if you think you'll be cared for, you'll be disappointed.


Mkono zinateta before atolewe chai, ataganda
Arms are waving before tea is served, and then they will scatter.


Nilikuwa na chong na mi nadai hizo matrophy, na ka unani-owe ma ganji man mi nadai kuwa na profit
I had chong (weed) and I owe money, but I want to make a profit.


Thatโ€ฒs why mi hukuwa kwa office, men in black tu na rock ma koti
That's why I'm in the office, wearing black and rocking my coat.


Let see mi hutrust manoti, maisha yangu naachia Sir God
Let's see if I can trust someone, and I leave my life in the hands of God.


Flow ni ya kimaajabu na, hii beat ni chopi
The flow is incredible, and the beat is hot.


B Boys si huset matrends
Brooklyn Boys don't follow trends.


Na si huset ma subject, na nimekam nimerock my blue fam, chini ni red carpet
And we don't stick to one subject, and I've come to rock my blue family, and the red carpet is below.


Mafan wanadishi talent hadi day watablow hio trumpet
Fans write about our talent, and one day we will blow the trumpet.


Shash iko joh kwa chalice
The hash is in the chalice.


Mi najikill close hio curtain, na mi sidai ma opps wajue vile nadraw hio pattern
I'll close the curtain and not let my enemies know how I draw my pattern.


Huku daily si hurun ma opps, na unaeza dhani ni circus
Here, there are always enemies, and you may think it's a circus.


Buruklyn Boyz tulileta frakass, kama ni drill close hio chapter
Brooklyn Boys brought chaos, and if it's a drill, close that chapter.




Writer(s): A.jay, Mr. Right

Contributed by Elena R. Suggest a correction in the comments below.
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found
Comments from YouTube:

@BURUKLYNBOYZ

AJAY NA MR RIGHT DUO STRONG๐Ÿ’™๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ†KWANI NI KESHOO???
#kenyandrilltotheworld

@brandwithricky

Mzidi kufinya hawa watu mazeh....shout out from Ruaka GeezโœŠ๐Ÿฟ

@STRAWBADDERGANG

Nawatambua mbyar๐Ÿค˜๐Ÿ”ฅ

@Amir_czza

Mad tune boyzzzz

@theyluvchichitotally

Edd ukoโ€ผ๏ธ. Nomareโ€ผ๏ธโœ…

@BrayoAndMarcus

Na wizzo atokee Kwa mavida aache kuplay safe apo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

67 More Replies...

@tellchimp8494

When Tupac died, one pac went to Wakadinali and the other pac went to Buruklynboyz

@peskythenyota2177

https://youtu.be/pcWORn_jGAk

@jakemuiruri8578

underrated comment

@k1prop

Smooth

More Comments

More Versions