Naima
Fresh Jumbe Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

AAh Naima chaguo la roho ya ngu
Lister sema... Elia

Naamini ulizaliwa ili uwe na mimi Naima Naima
Naamini nilizaliwa ili niwe na wewe Naima Naima wa roho

Wakati mwingine nakuchukia sana sana Naima
Na ninapokuchukia Naima ni sababu nakupenda sana Naima Naima wa moyo

Unaponiudhi Naima nachukulia hiyo ni bahati mbaya tu
Lakini nikikuudhi Naima, lazima nitubu nimefanya kosa nastahili kuadhibiwa Naima
Naima Naima

Naima Naima Naima Naima Naima
Ninapokuwa na wewe Naima najihisi napasuwa raha, katikati ya shida Naima
Roho yangu nakuachia wewe mpenzi Naima
Akili yangu nakuachia wewe mpenzi Naima
Mwili wangu nakuachia wewe mpenzi Naima
Mahela yangu yote nakuachia wewe mpenzi Naima
Maisha yangu yako mikononi mwako darling Naima Naima

AAh Lister Elia
Professor Junior Abbu Omar saidia
Muddy Best Mazingazinga
Mussa Shemtoi
Justus Joseph





Sura yako inaniumiza mpenzi Naima, umbile lako linaniumiza mpenzi Naima

Overall Meaning

The song Naima by Fresh Jumbe is a love song that expresses the deep affection and devotion the singer has for his significant other, Naima. The first verse of the song states that Naima is the choice of his heart and he believes that they were both born to be together. The next verse reveals that sometimes he gets upset with her, but it is because he loves her so much. He acknowledges that when she upsets him, he sees it as a stroke of bad luck, but if he upsets her, he must confess and accept punishment. The chorus repeats the name Naima several times while expressing the singer’s happiness and contentedness when he is with her. He believes that everything he has, including his body, soul, and life is in her hands, and he has given her all of himself.


The closing part of the song lists several people who may have contributed to the creation of the song or helped in some way. The final line of the song speaks to how Naima’s beauty and figure make him ache, but it is a sweet pain that he is willing to endure because he loves her so much.


Line by Line Meaning

AAh Naima chaguo la roho ya ngu
Oh Naima, you are the choice of my soul


Naamini ulizaliwa ili uwe na mimi Naima Naima
I believe you were born to be with me, Naima, my soulmate


Naamini nilizaliwa ili niwe na wewe Naima Naima wa roho
I believe I was born to be with you, Naima, my soul partner


Wakati mwingine nakuchukia sana sana Naima
Sometimes I hate you so much, Naima


Na ninapokuchukia Naima ni sababu nakupenda sana Naima Naima wa moyo
And when I hate you, Naima, it's because I love you so much, my heart's Naima


Unaponiudhi Naima nachukulia hiyo ni bahati mbaya tu
When you upset me, Naima, I take it as a coincidence


Lakini nikikuudhi Naima, lazima nitubu nimefanya kosa nastahili kuadhibiwa Naima Naima Naima
But if I upset you, Naima, I must apologize and accept punishment, Naima, Naima


Ninapokuwa na wewe Naima najihisi napasuwa raha, katikati ya shida Naima
When I'm with you, Naima, I feel relaxed, even in the middle of a crisis, Naima


Roho yangu nakuachia wewe mpenzi Naima
I surrender my soul to you, my love, Naima


Akili yangu nakuachia wewe mpenzi Naima
I surrender my mind to you, my love, Naima


Mwili wangu nakuachia wewe mpenzi Naima
I surrender my body to you, my love, Naima


Mahela yangu yote nakuachia wewe mpenzi Naima
I surrender everything to you, my love, Naima


Maisha yangu yako mikononi mwako darling Naima Naima
My life is in your hands, my darling Naima, Naima


Sura yako inaniumiza mpenzi Naima, umbile lako linaniumiza mpenzi Naima
Your face hurts me, my love Naima, your physique hurts me, my love Naima




Lyrics © DistroKid
Written by: Fresh Mkuu

Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found