Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found

Dereva
Jomenes Boys na Band Lyrics


No lyrics text found for this track.

The lyrics are frequently found in the comments by searching or by filtering for lyric videos
Comments from YouTube:

kibasa mohamedi

Yaan wewe ulikuwa speed, kama wenzako walisimama ghafla,wewe ulishindwa kusimama Kwa sababu ulikuwa mbio Sana .

Denis Rukangula

Je hiyo sehemu ni maalum kuvuka kwa ng'ombe,au isije ng'ombe ikawa imemgonga gari hahahaaa

Nelson Kileo

Hi nayo ni habari ,au ndio mmegundu namna ya kula Hela kupitia Views

Siraji Kiluvia

Kama hawajafa mshukuruni mungu,elewaneni

Denis Rukangula

Bora amegongwa ng'ombe sio mtu

hassani idrissa

Ulivyo ona gari zimesimama ungechukua taazari, kwa kupunguza mwendo, we unasema ulijua wanapakia abiria je kama wangekua wamewapa kipau mbele watoto wavuke? Siungewagonga,. Chukua taazari na toa kipau mbele hata kama una Haki,

Fides Bernard

Jamani inafaa kuchinjwa hakuna shida ni. Bahati mbaya tu.

Aairraah Seif

Sasa tatizo liko wapi?Ng'ombe wako hai na walipelekwa kuchinjwa harusi, wakachinjwe bado wako hai,na huyu mchungaji apewe kafidia kidogo, walaji wajanja polisi wakifika wote wataliwa pesa😂😂

Denis Rukangula

Hiyo harusi ikaombewe

Riziki Abdallah

Mwenye gari hana kosa alijua hice zimesimama kugombania abiria .

More Comments

More Versions