Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found

Heka Heka
Wawesh Lyrics


No lyrics text found for this track.

The lyrics are frequently found in the comments by searching or by filtering for lyric videos
Comments from YouTube:

@williammuriki2967

Usihesabu hasara kumwabudu Mungu ,kubali Mungu awe wa kwanza

@tattumpughs9469

Huu wimbo jamaani mtunzi mungu ambariki saana

@ogcraft2456

Amina sana asee aliwezaa

@allabout1783

What a fire 🔥 in this song...
Iringo sikujua kama mpo dedicated kumtumikia Bwana kiasi hiki.
Mungu abariki familia zenu nyote waimbaji wa Iringo.
🔥❤️

@NGA-rk5ms

Salamu kwa nyimbo zenye kuguza nyoyo zetu na kumbukumbukwa ahadi zetu na MUNGU shukrani'

@Emmanuel-bundala

Kwa kweli iringo mbarikiwe saaaan Mungu azidi kuwazidishia mbinu za uhubiri 💥💥..mkiendlea hivi kwa kweli moto wa jehanam utakuwa na kuchomea mahindi na shetan tu

@joanithadaudi-gw5pg

hahahahahah!!?

@ErickOmwenga-vh2un

Mungu na awape nguvu zaidi ya kufanya kazi katika shamba lake.

@givenmyula7270

Usikatae kazi.fungua moyo
Tenga mda sema na Mungu...

@damarisriro9806

Mbarikiwe kwa jinsi mnapojitolea kwa kazi ya bwana msikose kituyote njema.

More Comments

More Versions