Zuzu
ELANI Lyrics


Jump to: Overall Meaning ↴  Line by Line Meaning ↴

Number one on your Radio
Kwani wapi nilikosea
Kwani wapi nilikosea
Elani baby

Kufumba kufumbua, hasira ni hasara
Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima
Tabibu wangu amenitoroka
Tabibu wangu ameniacha
Ameniacha mi(Aiyoooo)
Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Ulienda, ulienda wapi
Penzi limenichanganya, sijui niko wapi
Ulisema ni mimi tu,
Ukani chocha chocha chocha its me & you
Umeniacha Mi, Hoooiiiii,
Hoi, Hoiiii

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Kwani wapi nilikosea aah aah
Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
Anaye ni zuzu anayenizuzua
Anaye ni zuzu amenitoroka
Hoihoii, hoihoii iii

Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ulienda, ulienda Wapi,
Hapa Nilipo, Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,




Ninakumissi Yo Yo Yo,
Ninakumissi Yo Yo Yo,

Overall Meaning

The lyrics of ELANI's song Zuzu seem to be describing the singer's search for answers after being left alone and abandoned by a lover. The first lines, "Number one on your Radio, Kwani wapi nilikosea," suggest that the singer is asking themselves where they went wrong in the relationship. This feeling of confusion is repeated in the chorus, "Kwani wapi nilikosea aah aah, Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa," where the singer is pondering what they did wrong to be left alone in the dark.


The second verse suggests that the singer is experiencing a range of emotions as a result of the breakup, including anger and financial difficulties. "Kufumba kufumbua, hasira ni hasara, Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima, Tabibu wangu amenitoroka, Tabibu wangu ameniacha, Amen iacha mi (Aiyoooo), Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)" expresses these feelings of frustration and abandonment, as the singer feels like even their doctor has abandoned them.


The song seems to be exploring the confusion and pain that comes with heartbreak, with the singer trying to understand why they were left by their lover. The repeated line, "Anaye ni zuzu," seems to suggest that the person who left them is the one tormenting them with their absence.


Line by Line Meaning

Number one on your Radio
Our song is the most popular one currently playing on the radio


Kwani wapi nilikosea
I'm questioning where I went wrong in our relationship


Kufumba kufumbua, hasira ni hasara
Keeping my anger hidden only harms me in the end


Pesa ndiyo kitu sina, jukumu ni lazima
Despite not having money, I have responsibilities I must fulfill


Tabibu wangu amenitoroka
My healer has left me


Ameniacha mi(Aiyoooo)
Leaving me behind with a cry out of agony


Hoihoii iii(Iyoo, Iyo, yo, yo)
Expressing grief and pain through vocalization


Kwani wapi nilipotea, nikaachwa mataa
I'm wondering where I got lost and left stranded by myself


Anaye ni zuzu anayenizuzua
The one who's troubling me is a playboy who can't be trusted


Ulienda, ulienda wapi
I'm asking where you went and disappeared to


Penzi limenichanganya, sijui niko wapi
Love has confused me, I have lost my sense of self


Ulisema ni mimi tu,
You promised that it's only me


Ukani chocha chocha chocha its me & you
But you later turned out to be deceptive and unfaithful


Ninakumissi Yo Yo Yo,
I am missing you intensely




Writer(s): Bryan Chweya, Kevin Macharia

Contributed by Hannah O. Suggest a correction in the comments below.
To comment on or correct specific content, highlight it

Genre not found
Artist not found
Album not found
Song not found
Comments from YouTube:

@mercybianca131

Still slaps in 2023❀️πŸ₯Ί

@sharonmutiso6130

Always πŸŽ‰β€

@Vickiieee

FactsπŸ’―

@youtubecommentergal4346

Are they still a group or they split up?😒

@rudimanurung7902

Rudi

@siralipan9900

06/02/2024

@shawnodhiambo5882

I was in high school when elani were dominating the airwaves...being in a boys school your street cred died if you were caught Jamming to this track... but Kwa bafu everyone let looseπŸ˜‚πŸ˜‚very weird times to be singing elani though.Still love this band in 2021

@keziahmwangi9920

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

@redd3248

Still love it in Dec 2022☺️

@centralnewsonlinetv5675

The crush I had on wambui wacha tu πŸ˜‚πŸ˜‚β€β€

More Comments

More Versions